Kijana alitoa assist murua kabisa, ila bado hajiamini, ninadhan anaogopa kufanya makosa, hii ishu nimeiona kwa Theo pia., Vallejo ndio ninaona anajiamin na haogopi!!
Huyu Dogo abaki tu kweli, ametulia sana utadhani anachezea first team siku zote., anaweza kabisa kumsaidia Dani., ila ngoja tusubir tuone Zidane atambakiza nani kati yake na Tejero