Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #25,541
Wakati anasajiliwa Royston alifanana sana na Roberto Carlos katika mtindo wa uchezaji, naamini alikua na mbio mithili R.Carlos na ukabaji wake ulikua wa kawaida. Pole kwake alikosa muelekeo sawa sawa na CicinhoFrom the highs of being one of the biggest prospects in Europe to a pretty unknown club in the Middle East.
Former Real Madrid Full Back Royston Drenthe has hung up his footballing boots for a life as a rapper.
Wakati anasajiliwa Royston alifanana sana na Roberto Carlos katika mtindo wa uchezaji, naamini alikua na mbio mithili R.Carlos na ukabaji wake ulikua wa kawaida. Pole kwake alikosa muelekeo sawa sawa na Cicinho
Royston Drenthe alikuwa tight, makini na mbio pia. Alikuwa anakaba na uwezo wa ku-scrore kilichosababisha kuondoka Bernabéu ni Mourinho. Yule jamaa alivyokuja pale akachagua wachezaji wake anaowataka yeye