Jaman hali yetu kwenye hizi mechi nne zimekuwa siyo poa
Japo naona na majeruhi yana tuandama kiaina.
Ki ukweli nimeskitishwa sana but ngoja tuone itakuwaje

Mkuu mimi ni shabiki kindakindaki sana wa Barca,ila natoa rai ubovu wa match 4 hz mlizocheza usitumike kufanya wrong judgement ya u coacher wa Zidane he is still a good coach for me sema kuna kitu kimewaharibiane hamna kikosi kikubwa,sisi wenzenu tuna rotation ya nguvu labda Messi na Suarez ,Neyma kwa mbali...ndi hawapigi rotation ya kupumzishwa huku hadi president Pique anapumzishwaga kwa ajili ya concentration kidogo (long term plans)