Heshima kwenu wadau wenzangu!
Ni mimi hapa mdau mwenzenu na ni ndugu yenu,
Nimewaijia kuwaomba samahani..kuna kipindi nilikuwa nawaijia kwenye thread yenu na nikawa nawakera sana pasipo kupendezewa, hivyo kwa yeyote yule niliyemuudhi na kumtolea maneno yasiyompendeza naomba anisamehe na nimejirekebisha,na wale walionikosea ndani ya thread hii ama nje ya thread hii nimewasamehe wote...naomba mnisamehe.