Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #20,501
Tuwape 70 watupe jamaa..maana ni shoka haswa yule.#Latest : Bayern Munich reject €65 million Real Madrid offer for David Alaba. They want 80m! [AS] #Rumors
Itakuwa poa sana kama dogo akienda Villareal, na hiv Saldado ni majeruhi, anaweza kupata nafasi kubwa sana ya kucheza!!Villareal wants Mariano on loan, next 24 hours can be decisive. [AS]
Hapo ni sawa, ninaona kilichomtokea Lucas Silva msimu uliopita kule ligue 1 kimewaamsha viongozi!! haiwezekani kijana aende sehemu kwa mkopo mkitegemea anaenda kupata muda wa kucheza, badala yake anaenda kukalia bench!! Nia ya kuwatoa kwa mkopo ni ili wakapate uzoefu na muda wa kucheza pia!! Kwa hilo club imefanya jambo la maana sana!!Real Madrid has installed clauses in the loan contracts of their players to play 50% of games in a season or the club be fined €100-200k. [MARCA]
In short dogo anajua ila anahitaji mda zaidi wa kucheza kuimarisha kiwango chake.Ødegaard will spend next season on loan at Rennes as per Zidane's orders. The deal is already closed and will be announced soon. [as]