Kweli kabisa mkuu Wakuru;
Jana watani zetu Man Utd, walizidiwa sana..uzuri ni kwamba walitumia nafasi waliyopata vizuri.
Man Utd, hutegemea sana mabeki wa pembeni, Rafaeli na Evra..lakini jana ilikuwa kinyume:
Mtu ambaye jana alisumbua sana Madrid ni Welbeck..saafi sana.
Lakini jana Man Utd, walichoka sana..Di Maria, Ozil, Ronaldo, Khedira..ilikuwa hakuna nafasi ya kupumua..
Kwa 50%, Man Utd watafungwa gemu ya marudiano: