Ready 2 Note? Unpacked 2014, Season 2

Old Skuli

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
690
Reaction score
178
The most powerful 5.7' monster is about to hit the premiere.

Kesho ndo kesho katika IFA Berlin 2014 ambapo Samsung Galaxy Note 4 pamoja na Galaxy Gear S(SOLO) zitakuwa revealed na Samsung Mobile.

Hizi ni baadhi ya specs ambazo zinategemewa kuwepo kwenye hiyo Note 4.


  • Display ya 5.7' QHD 2560 x 1440 SAMOLED ikiwa na 515ppi
  • Processor ya Quad-core Snapdragon 805(hatari hii) clocked at 2.6GHz pamoja na GPU ya Adreno 420
  • RAM 4GB
  • Camera yake ni 16-Mega Pixels
Kwa staili hii Note 4 itakuwa one of the most powerful phablets on earth hata zaidi ya computer kibao!
Karibu tujadili mtazamo wako.




 
Haujasema ukubwa wa battery! haina maana kutembea na mdude mkuuubwa halafu lisikuvushe siku.
 
kaka itakuwa na rich specification kuliko computer nyingi ila sio powerfull.

processor ya computer ambayo ni weak mfano intel atom ina power kushinda processor kali ya simu. siku zote x86 ni powerfull
 
haujasema ukubwa wa battery! haina maana kutembea na mdude mkuuubwa halafu lisikuvushe siku.

Betri cjasikia expectations zozote but haiwez.kuwa chini ya 2000mAh
 
kaka itakuwa na rich specification kuliko computer nyingi ila sio powerfull.

processor ya computer ambayo ni weak mfano intel atom ina power kushinda processor kali ya simu. siku zote x86 ni powerfull

As per specifications, huenda ni tofaut ya lugha ila all i see is the beast of all time landing on earth..Richness in Note4 will sound beter than perfomance in some intel atom pc's
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…