Read it very urgent for your safety!!!

Turejee nyuma kidogo tujiulize, Tropical Air ni yanani?, tazama juzi meli ya Spice islander ilikomaliwa na SUMATRA punde sumatra wakaambiwa waachane na Zbar na waondoke kurudi bara, meli ilipozama ikaonekana haikuwa na sifa hata ya kukatiwa bima. Tusipuuze observation hizi, chukua tahadhari.
 
Nadhani mtoa mada uko sahihi kwa 88% lakini umejaribu kuwaeleza TCAA. Maana wao ndio wanamulika shughui zote hizi. Rushwa viwanja vya ndege inaonekana wazi watu wenye personality na rangi fulani huwa wanaingia tuu airport. Siku yakitukuta ndio tutaunda tume ikatembee O.Tambo, Capetown, Cairo,Schipol kupata uzoefu.
 

Wewe hujafukuzwa chuo wala si mwanafunzi wa chuo, na ingekuwa Mtanganyika kweli usingethubutu kuandika lugha ambayo haitumiki, si Tanganyika wala si Tanzania, "urongo", na wengine kule wakastuka mpaka wakakuuuliza ni wa wapi? au umesahau? Ya kwenu yanawashinda mnaingia hapa kuleta chokochoko. Yatakushinda!
 

kumbe tatizo lako maandishi?
Ungeanza na wale wahindi wa K/Koo ambao hata Kiswahili chenyewe hawakijui, achilia mbali usanifu wake.
Mnaafik mkubwa wewe!
 
I hope relevant authorities including Ministry and Aviation/airport authorities will respond to Basiasi allegations. All in all I still believe that when you have a corrupt system dominating our day to day way of living professionalism and rule of law becomes secondary priority. We can not afford to disregard everything brought by Basiasi.
 
kwanini atumie kingereza wakati anaongea na watanzania???? FFoxy upo sahihi katumwa huyu...

Kuna kosa gani mtu kutumia Kiingereza kama anataka baadhi ya watu kinaowapiga chenge Kiswahili awafikie?
 
Kuna kosa gani mtu kutumia Kiingereza kama anataka baadhi ya watu kinaowapiga chenge Kiswahili awafikie?

kweli nyani haoni la kwake! Unamlaumu kwa kutumia kiingereza? Mbona wewe unajiita ZION badala ya ZAYUNI? Mbona jamaa yako anajiita FOXXY na hujamshauri atumie jina la kiswahili? Acheni unafij na unoknok!
 
Siajsoma hii article nisije shindwa kuruka angani bure manake dunia ya leo bila kuruka utaishije?.... liwalo na liwe hatuna jinsi ndio nchi yenu half kuzimu bin akhera....
 
we umetumwa haswa na nduguzo wakenya kuchafua hali ya hewa tanzania
we kweli mjinga unasema waongoza ndege hawajui wakifanyacho kwani kuna ndege ilishaanguka au kugongana wkt zinatua zanzibar au DSM?
kwani umeambiwa waanaajiri bila kuzingatia elimu? your real narrow minded ukadhani nasi hatuajenda shule?
afu kama we kweli pilot kuna mamlaka ya usafiri anga tanzania ushapeleka madai yako huko???
upuuzi mtupu unauweka hapa JF kuna haja sasa ya moderators kuangalia uraia kabla ya kumruhusu mtu kuwa member
mnataka kujenga kujenga uwanja holili lkn bado watu wana imani kubwa na KIA DSM na ZBR. IMANI ya wataalii kwenda kenya imeshuka kutokana na hali ya usalama nchini mwenu na pia wizi uliokithiri uwanja wa ndege nairobi hasa mizigo ya watu wanaotoka nche ya afrika
Tanzania bado ni salama ktk suala la anga.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…