Re:Muda ni hakimu mzuri sana

nakataa kabisa mkipata hela mnasahahu uliyekuwa nae kwenye dhiki acha kabisa mwanume si wa kuamini kabisa... mkishaweza kubadili magari dharau mnaweka mbele yani ,mimi kwa kweli sijui niseme nini natamani kutukana hapa

kwahyo unataka kusemaje?
 
Huo ushauri ni mzuri ukiwa kwenye kitabu cha riwaya. Kwenye ulimwengu halisi mi sikubaliani nao kabisaa. Naungana na hawa wanaosema kuna watu wakishapata hizo hela wanawabadilikia wanawake zao waliowavumilia. Kwenye kabila letu kijana haoi mpaka awe na nyumba na mazao (uwezo wa kutunza familia). Kama hana hivi ina maana hajawa tayari kwa jukumu hilo. Sasa leo hii iweje tukubali kuingia kwenye majukumu mazito kwa kutegemea vision, sijui true love. Naanza tu kumngoja mkaka aanze kujikongoja ......labda kama tungekuwa tunaishi miaka walau 200...wako watu tayari wamesimama kwenye maisha na wana hiyo true love. Nisipompata wa aina hii basi.
 
...weeee...weeeee....umelalaaaaaa....

...hata utoe maneno matamu na ya ukweli na kufundisha kama ya bibilia.....SIO DUNIA YA LEO...

...HATA UKESHE UNAIMBA NA MIAKA YAKO YOOOOOTE DUNIANI NA MANENO MATAMU NA HEKIMA.....HUTAWAPATA WANAWAKE.....

...WW TAFUTA PESA...PESAAAA...NAONA HUSIKII....TAFUTA PESAAAAAAAAAAAAAAA..nina zako mwanaume gani ww outdated nn......ukiwa nazo tu.... wenyewe wengiiii watakutafuta.....tena unatest unajichagulia....huongei chochote....unawaambia tu funua....ukiona used au haifai for ur test unamwambia potea.....acha kulia lia...tafuta pesaaaa....wenyewe kazi yao wanaangalia wenye nazoooo....

...shauri yakoooo...



 
Nashukuru kuona unawajua vizuri hao...mwanaume si kaka yako,yani ningeweza kuishi maisha yote mwenyewe nadhan ningefanya hivyo....wanatia hasira

Me juzi nilisema mwanaume sio ndugu yako, walinisuta hatari.......! Hawa viumbe hawana shukrani hata kidogo.
 
nakataa kabisa mkipata hela mnasahahu uliyekuwa nae kwenye dhiki acha kabisa mwanume si wa kuamini kabisa... mkishaweza kubadili magari dharau mnaweka mbele yani ,mimi kwa kweli sijui niseme nini natamani kutukana hapa

mmh chaga style keep away frm wallet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…