Wakuu hembu mnijuze wapi pa kupata hivi vitu.
Nataka kupata Machine au vifaa vya kufanyia packing ya Asali.
Wenye uelewa wanijuze hapa,namna ya kuvipata na utaratibu mwingine.
Haijakubali Mkuu
Ukipata number au email yao naomba unipatie ili niwaulize kabla sijatuma mtu.
Ukikosa Kesho kutwa nitamtuma mtu akaniulizie.
Shukran Jazak llahu Lkheir