MUSONI JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 904 Reaction score 692 Feb 7, 2012 #1 Wapendwa habari za kazi, naomba mwenye taarifa atujuze KUNA WAKATI JANUARI AMA DEC TULIFANYA INTERVIEW "WRITTEN" Hapo IFM Madarasa yote kwa kazi mbalimbali NSSF wengine tunaona kimya kama imetoka tujuzane. Siku njema.
Wapendwa habari za kazi, naomba mwenye taarifa atujuze KUNA WAKATI JANUARI AMA DEC TULIFANYA INTERVIEW "WRITTEN" Hapo IFM Madarasa yote kwa kazi mbalimbali NSSF wengine tunaona kimya kama imetoka tujuzane. Siku njema.
Wisdom JF-Expert Member Joined Sep 28, 2010 Posts 500 Reaction score 127 Feb 7, 2012 #2 Nenda NSSF kawaulize au wapigie simu usitujazie Server