RE: Archaeologist

RE: Archaeologist

Joined
Jul 6, 2014
Posts
33
Reaction score
1
I have a bachelor in archaeology. Under this discipline I am well organized in Archaeological methodology and well experienced in land Excavation. Was conducted two field school first was conducted at Bagamoyo Kaole luwinzi site, secondly was conducted at Rukwa iron technology smelting site.

I assist all Archaeological Researchers, Archivist managers, Tour guider in East Africa to contact with me in order to grasp may discipline. Now I am a jobless was hunting a job belongs to this professional,ready to work had every were in East Africa, please I need help for that.
Call:0766717965/0688583311 or Email: alexanda.kasomo@yahoo.com
 
Dr. Edwinus Lyaya
Dr. Saanane C.B
Dr. E.T Kessy
Dr. Bushozi P.G.M
Dr. Massao F.T
E.t.c
mkuu kapige PGDE upumzike ktk ualimu,ila uwe na dhati.AY is nothing,au check hao watu juu watakusaidia ajira. Mbaya zaidi fani nyingine huwa wanaomba kibali utumishi ili wapelekewe watumishi serikalini lakini Antiquity department wapo kimya tu,sijui hawaoni!halafu tangu 2010 nimewasikia wakisema Antiquity wana changamoto ya kukosa wataalamu.ni unafiki tu.
 
Kwani kuna shida gani ukitumia Kiswahili?Sa Kihaya mpaka kwenye Kiingereza unatarajia nini sasa
 
Pole Aleksanda.

Kwa hiki Kiingereza chako sijui vizuri kama kuna mwajiri atafikiria kukuita. Jinoe zaidi mwanakwetu.
 
I have a bachelor in archaeology. Under this discipline I am well organized in Archaeological methodology and well experienced in land Excavation. Was conducted two field school first was conducted at Bagamoyo Kaole luwinzi site, secondly was conducted at Rukwa iron technology smelting site. I assist all Archaeological Researchers, Archivist managers, Tour guider in East Africa to contact with me in order to grasp may discipline. Now I am a jobless was hunting a job belongs to this professional,ready to work had every were in East Africa, please I need help for that.
Call:0766717965/0688583311 or Email: alexanda.kasomo@yahoo.com

Kwa lugha hii ya Kiingereza, kupata kazi itachukua muda, maana hili tangazo lako tayari uko kwenye interview, tayari ume fell communication skills. Umesoma hiyo profession kweli ? Mboka Kaole ruins (Magofu ya Kaole) - unaita Kaole luwinzi !!!!
 
Dr. Edwinus Lyaya
Dr. Saanane C.B
Dr. E.T Kessy
Dr. Bushozi P.G.M
Dr. Massao F.T
E.t.c
mkuu kapige PGDE upumzike ktk ualimu,ila uwe na dhati.AY is nothing,au check hao watu juu watakusaidia ajira. Mbaya zaidi fani nyingine huwa wanaomba kibali utumishi ili wapelekewe watumishi serikalini lakini Antiquity department wapo kimya tu,sijui hawaoni!halafu tangu 2010 nimewasikia wakisema Antiquity wana changamoto ya kukosa wataalamu.ni unafiki tu.

Mkuu kazi zinatangazwa na watu wanaajiriwa ingawa sio wengi. Aidha, kusoma archaeology sio lazima afanye kazi Antiquities Division, anaweza kuajiriwa katika taasisi yoyte maana kasoma social science, hata afundishe vyuo vyenye kozi hizo siku hizi ni vingi tu kama vile UDOM, Tumaini nk.. Lakini kwa Kiingereza hicho, atafauluje interview. Swali la kwanza tu... Tell us your historical background starting with your secondary education.......atafell vipi kuhusu maswasli ya taaluma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom