RE: Application for a job of information technology

EDGAR LIGANGA

New Member
Joined
Nov 12, 2018
Posts
4
Reaction score
4
EDGAR LIGANGA
PO BOX 2000,
DAR ES SALAAM.
0715440171
edgarjohnliganga@gmail.com
I am Edgar Liganga have graduate in Information Technology (IT) with Certificate and I have Experience of One year as I worked Ulanga Mahenge Hospital and Dar es salaam University of College as IT.
I have pleasure to work and to Cooperate with You in Various activities such as Graphics Design, Web pages,HTML, JAVA SCRIPT, CSS, Internet and Emails and Software Installation.
I’m forwarding this comment for a positive from You.
Your Faithful.
EDGAR LIGANGA
 
Attachments

Next time ukiandika application letter, usiandike jina kwenye main body. Jina huwa linaandikwa mwisho wa barua
 
Mkuu kwny course uliyosoma hamfundishwi communication skills?
 
Mkuu Edgar next time ukilazimika kuandika barua ya kazi kwa kiingereza

baada ya kuandika kabla hujatuma nakushauri omba mtu anaejua kizungu akusaidie kuweka sawa.

Vinginevyo kama hujalazimishwa kutumia kizungu andika kwa kiswahili.
 
Next time ukiandika application letter, usiandike jina kwenye main body. Jina huwa linaandikwa mwisho wa barua

Nadhani kinachokosekana hapo ni address ya mwajiri mtarajiwa(Aligned Left) lakini kuhusu address ya mtumaji inatakiwa kuwepo ILA iwe aligned Right juu ya address ya mtumiwa. Mwisho wa barua inawekwa tu sahihi. Ahsante
 
ila hizi comments, nahisi ndio maana halisi ya neno comment..,hahahaaa i have a pleasure looh..!!
 
Next time ukiandika application letter, usiandike jina kwenye main body. Jina huwa linaandikwa mwisho wa barua
Mkuu kwny course uliyosoma hamfundishwi communication skills?
Mkuu,
Graduate hujui hata kuandika barua?
Alafu unajiita mtaalamu wa IT?

Kweli Hizi degree zipimwe upyaa!!
Ukimkosoa na kumuelekeza utakua umemsaidia zaidi kuliko kumkosoa na kumuacha. Hivi vyote tumejifunza, hatukuzaliwa navyo. No one is perfect
 
Nadhani kinachokosekana hapo ni address ya mwajiri mtarajiwa(Aligned Left) lakini kuhusu address ya mtumaji inatakiwa kuwepo ILA iwe aligned Right juu ya address ya mtumiwa. Mwisho wa barua inawekwa tu sahihi. Ahsante
Jina pia lazima uandike mana sio lazima address itayoandikwa na muombaji iwe ni yake. What if address aliyotumia ni ya ndugu yake au ni ya chuo alichosoma? Jina na sahihi lazima uandike
 
Mkuu sipingi ushauri wako ila letter writing tunajifunza toka primary,by the way me ni IT expert yaani km barua tu ya kazi hajui kuandika anawezaje kugonga hizo code za hizo language alizo list hapo kwenye maelezo yake? Lengo langu halikuwa kumsahihisha bali nna doubt na uwezo wake na kazi anayoomba.
Ukimkosoa na kumuelekeza utakua umemsaidia zaidi kuliko kumkosoa na kumuacha. Hivi vyote tumejifunza, hatukuzaliwa navyo. No one is perfect
 
Mkuu sipingi ushauri wako ila letter writing tunajifunza toka primary,by the way me ni IT expert yaani km barua tu ya kazi hajui kuandika anawezaje kugonga hizo code za hizo language alizo list hapo kwenye maelezo yake? Lengo langu halikuwa kumsahihisha bali nna doubt na uwezo wake na kazi anayoomba.
Umeshagundua kuwa hajui kuandika licha ya level yake kielimu,basi mpe hata ushauri tu huenda akaufanyia kazi ushauri wako na ukamsaidia huko mbeleni. Actually suala la kuandika barua ni shughuli pevu hasa kwa wanavyuo(baadhi), ukitaka kujionea hili kwa macho yako pita kwenye stationary mbali mbali utaona mtu anavyohangaika kuandika, lisaa lizima mtu anahangaika kuandika barua na hamalizi. Wengi nadhani wanakosa kazi kwa sababu hii ya uandishi wa barua
 
Mkuu naheshimu utetezi wako ila kabla ya kusaidia namchallenge kuhusu profession yake,maana nikimsaidia yeye kupata kazi inawezekana nikamuangamiza muajiri wake kwa kupata mtu magumashi na pia nalinda profesionalism bila hivo wasomi tutaendelea kutukanwa daily.

Kwa huo uandishi nakushauri jiajiri tu. Halafu elimu yako mbona bado ndogo sana kuanza kutafuta ajira, una certificate unatafuta ajira. Kasome shule, kuna watu wana elimu zao na bado wanambwela mtaani na IT zao
 
Mkuu naheshimu utetezi wako ila kabla ya kusaidia namchallenge kuhusu profession yake,maana nikimsaidia yeye kupata kazi inawezekana nikamuangamiza muajiri wake kwa kupata mtu magumashi na pia nalinda profesionalism bila hivo wasomi tutaendelea kutukanwa daily.
Ushauri kuhusu uandishi wake sio kazi mkuu
 
Mkuu nnaposema simsaidii namaanisha,yaani imagine IT expert mzima anashindwa kugoogle sample letter? Ndio maana sihitaji kumshauri.

Back
Top Bottom