Homa la jiji
Senior Member
- Jan 13, 2014
- 129
- 28
kama kweli takukuru wamemuogopa huyo rco basi nchi hii imekwishaaaa haiweZekaniki
Hivi huu mtandao ni kwa ajili ya uzushi na mipasho au?????
Jina lake nani ashughulikiwe?
Mimi ni mmoja ya waathirika wa utendaji wa RCO huyu aliniomba rushwa ya sh. Milioni 3 nikapuuza mpaka sasa miezi 7 faili langu naambiwa bado linaendelea na uchunguzi na amekua akifanya hivyo kwa baadhi ya watu ambao anajua wana uwezo wa kifedha hata kama ushahidi hakubani yeye anaweka uzito ili uogope utoe pesa.
Kuna siku tulikua tumekaa nje ya ofisi yake watu wanne tukisubiri huduma kila mmoja wetu alizungumzia kuombwa rushwa tena sio chini ya milioni moja na usipo toa anaanza kujenga mazingira magumu kwenye tuhuma zako ili uwe mtuhumiwa kamili au anakuchelewesha makusudi kwakukuambia uchunguzi bado unaendelea miezi mingi itapita yaani kamwa mungu mtu huyu RCO
Mimi binafsi nimechoshwa na utendaji wake na nina ushahidi wa kutosha nilishawahi kuufikisha TAKUKURU nao wakamgwaya wakaniambia kua niupeleke kwanza ushahidi ule kwa RPC akishindwa kunisikiliza bas ndipo nirudi kwao yaani anaweza akakuzungusha kwa jambo la wazi kabisa du anakera
Ukiamua kumwaga ugali mwaga na mboga kabisa utakuwa umemuweza mpinzani wako vinginevyo ukichelewa akamwaga mboga utakuwa umeshindwa ataonekana ana maamuzi magumu kukuzidi.
We umeleta taalifa za rco hapa kwann usitaje jina mpaka kituo anachotoka??????,ndio.umkomoe kabsaaa.hatachukua tena rushwa.vinginevyo hii ni majungu kama yale ya magazeti pendwa.UDAKU.
Mimi ni mmoja ya waathirika wa utendaji wa RCO huyu aliniomba rushwa ya sh. Milioni 3 nikapuuza mpaka sasa miezi 7 faili langu naambiwa bado linaendelea na uchunguzi na amekua akifanya hivyo kwa baadhi ya watu ambao anajua wana uwezo wa kifedha hata kama ushahidi hakubani yeye anaweka uzito ili uogope utoe pesa.
Kuna siku tulikua tumekaa nje ya ofisi yake watu wanne tukisubiri huduma kila mmoja wetu alizungumzia kuombwa rushwa tena sio chini ya milioni moja na usipo toa anaanza kujenga mazingira magumu kwenye tuhuma zako ili uwe mtuhumiwa kamili au anakuchelewesha makusudi kwakukuambia uchunguzi bado unaendelea miezi mingi itapita yaani kamwa mungu mtu huyu RCO
Mimi binafsi nimechoshwa na utendaji wake na nina ushahidi wa kutosha nilishawahi kuufikisha TAKUKURU nao wakamgwaya wakaniambia kua niupeleke kwanza ushahidi ule kwa RPC akishindwa kunisikiliza bas ndipo nirudi kwao yaani anaweza akakuzungusha kwa jambo la wazi kabisa du anakera
Mkuu post yako si hii hapa? Nani kaiondoa? Huyo RCO apewe nomaKwa nini mmeiondoa post yangu au na huku mnachukua mnungula nawashangaa sana taarifa hii sio ya udaku ni ya kweli na nilipo ipost nilikua najua mtakula mnungula kwa taarifa yenu nina ushahidi wakutosha tena wakitaalam na msiwe na roho za hivyo maana yakupost hili nikwakua sina msaada ktk jambo langu na simhofii mtu yeyote mana nawafumbua watu wasiibiwe