RC mpya wa Katavi Juma Homera, aanza na mguu wa kushoto... Atashindwa vibaya sana!

Hii picha nitaichukua niipeleke maabala maalum ya kuchunguza picha (special photo lab) kama itathibitika umeidownload huko fesibuku utalazimika kutokuziona mvua tatu mfululizo
 
View attachment 1124189

Hii ni shule ya msingi iliyopo jimbo la Mpanda Mjini kata ya Kasokola , sasa tulitarajia RC mpya wa Kstavi Mtukufu Juma Homera apambane na changamoto hii kwa kuhakikisha shule za tembe zinatokomezwa , lakini badala yake ameamua kupambana na wapinzani .

Amenukuliwa bila aibu kwamba anataka kuona mikutano ya ccm tu mkoani humo na kwamba atahakikisha vyama vya upinzani vinatokomezwa.

Namtabiria anguko kubwa sana !
CHADEMA ni msingi imewachanganya sana hawa MAFISI

wamepaniki balaa
 
Kashindwa baba yake itakuwa yeye huyo hobela hobela! upinzani wa kisiasa ni life style, hawezi kubadilisha life style za watu!
 
Hayo ndio maendeleo yaliyoletwa na ccm miaka 58 baada ya Uhuru ,Lumumba njooni msifie shule yenu ,n.b hizo shule zenu lumumba za hivyo ziko nyingi sana we are on the right truck .
 
View attachment 1124189

Hii ni shule ya msingi iliyopo jimbo la Mpanda Mjini kata ya Kasokola , sasa tulitarajia RC mpya wa Kstavi Mtukufu Juma Homera apambane na changamoto hii kwa kuhakikisha shule za tembe zinatokomezwa , lakini badala yake ameamua kupambana na wapinzani .

Amenukuliwa bila aibu kwamba anataka kuona mikutano ya ccm tu mkoani humo na kwamba atahakikisha vyama vya upinzani vinatokomezwa.

Namtabiria anguko kubwa sana !
Sasa ikiwa shule iliyopo mjini ina hali kama hiyo, je shule za kule Sitarike, Mwese, nk zina hali gani?
 
Back
Top Bottom