RC mpya wa Katavi Juma Homera, aanza na mguu wa kushoto... Atashindwa vibaya sana!

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,236
Hii ni moja ya shule za Msingi Mkoani Katavi, jimbo la Mpanda mjini, IPO Kata ya.jpg

Hii ni shule ya msingi iliyopo jimbo la Mpanda Mjini kata ya Kasokola , sasa tulitarajia RC mpya wa Kstavi Mtukufu Juma Homera apambane na changamoto hii kwa kuhakikisha shule za tembe zinatokomezwa , lakini badala yake ameamua kupambana na wapinzani .

Amenukuliwa bila aibu kwamba anataka kuona mikutano ya ccm tu mkoani humo na kwamba atahakikisha vyama vya upinzani vinatokomezwa.

Namtabiria anguko kubwa sana !
 
Nimezunguka mpanda na mlele sijaona shule kama hiyo hebu tueleze jina la hiyo shule na wanafunzi wakiwa wanafundiswha na walimu hapo.Kama hamna picha za umasikini za kupost si bora mkae kimya juzijuzi ulichukua picha ya Kenya mkasema ni Tanzania.Shame on you chadomo.
 
View attachment 1124189

Hata wewe mwenyewe umeanza thread kama huyo RC wako, uhusiano wa Songwe na Katavi upo wapi

Heading inasema: RC mpya wa Songwe Juma Homera aanza na mguu wa kushoto , atashindwa
 
View attachment 1124189

Hii ni shule ya msingi iliyopo jimbo la Mpanda Mjini kata ya Kasokola , sasa tulitarajia RC mpya wa Kstavi Mtukufu Juma Homera apambane na changamoto hii kwa kuhakikisha shule za tembe zinatokomezwa , lakini badala yake ameamua kupambana na wapinzani .

Amenukuliwa bila aibu kwamba anataka kuona mikutano ya ccm tu mkoani humo na kwamba atahakikisha vyama vya upinzani vinatokomezwa.

Namtabiria anguko kubwa sana !
Tupe jina la shule tafadhali.
 
Mkuu moderator badala ya songwe irekebishwe na kuwa Katavi , natanguliza shukrani
Naona mods bado wanagegedwa/wanagegeda ngoja waamke watarekebisha. Nilishangaa kuona Songwe nikasema ina maana Magu alifanya mabadiliko juu kwa juu? Ila huyu RC naye atakuwa mburula!
 
Ongeza picha tatu tofauti za hiyo shule mkuu ili tuwafunge midomo kina Tomaso.

Niko stalike hapa Kama vipi nikipata direction naweza kwenda kushuhudia Hili ajabu la kutengenezwa.
 
Duuuu aisee kama kafikia hatua hiyo huyo ni wakumuonea huruma
View attachment 1124189

Hii ni shule ya msingi iliyopo jimbo la Mpanda Mjini kata ya Kasokola , sasa tulitarajia RC mpya wa Kstavi Mtukufu Juma Homera apambane na changamoto hii kwa kuhakikisha shule za tembe zinatokomezwa , lakini badala yake ameamua kupambana na wapinzani .

Amenukuliwa bila aibu kwamba anataka kuona mikutano ya ccm tu mkoani humo na kwamba atahakikisha vyama vya upinzani vinatokomezwa.

Namtabiria anguko kubwa sana !
 
Kuipata hiyo katiba inabidi tupate na usaidizi wa mabeberu vinginevyo hawa watu hawataki kabisa kuigusa hii katiba iliyopo maana ina wabeba
Bila ya Katiba ya Wananchi majanga tuuu
 
Uvccm waliwahi kusema kuwa ndani ya ccm hakuna msafi
Naona mods bado wanagegedwa/wanagegeda ngoja waamke watarekebisha. Nilishangaa kuona Songwe nikasema ina maana Magu alifanya mabadiliko juu kwa juu? Ila huyu RC naye atakuwa mburula!
 
Nimezunguka mpanda na mlele sijaona shule kama hiyo hebu tueleze jina la hiyo shule na wanafunzi wakiwa wanafundiswha na walimu hapo.Kama hamna picha za umasikini za kupost si bora mkae kimya juzijuzi ulichukua picha ya Kenya mkasema ni Tanzania.Shame on you chadomo.
umefika ivungwe ?
 
View attachment 1124189
Hii ni shule ya msingi iliyopo jimbo la Mpanda Mjini kata ya Kasokola , sasa tulitarajia RC mpya wa Kstavi Mtukufu Juma Homera apambane na changamoto hii kwa kuhakikisha shule za tembe zinatokomezwa , lakini badala yake ameamua kupambana na wapinzani .
Amenukuliwa bila aibu kwamba anataka kuona mikutano ya ccm tu mkoani humo na kwamba atahakikisha vyama vya upinzani vinatokomezwa.
Namtabiria anguko kubwa sana !

Rekebisha heading isomeke RC Katavi, siasa za Mpanda zinataka moyo sana
 
Kumbuka matokeo ndiyo yanayotakiwa hasa ya yule aliyempa kazi na siyo wewe pole sana.
 
Back
Top Bottom