Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,020
- 26,199
Ukiminywa kidogo ili ufafanue maana ya mandezi huchelewi kuomba msaada huko 'miga!'Dar, Mbeya, Arusha hii mikoa ina Maregional Coordinator mandezi sana
Niminywe na nani? Nani mwenye shida ya kujua neno mandezi?Ukiminywa kidogo ili ufafanue maana ya mandezi huchelewi kuomba msaada huko 'miga!'
Kumbe huwa mnaminya watu?Ukiminywa kidogo ili ufafanue maana ya mandezi huchelewi kuomba msaada huko 'miga!'
Na wewe ndiyo mchango wako wa hoja iliyopo mbele yako! Au wewe ni konstebo ndani ya JF of GT?Ukiminywa kidogo ili ufafanue maana ya mandezi huchelewi kuomba msaada huko 'miga!'
Na wewe ni ndezi.Ukiminywa kidogo ili ufafanue maana ya mandezi huchelewi kuomba msaada huko 'miga!'
Lakini mkuu lugha uliyotumia si nzuri kwa viongozi wetu hawa, hata kama hauwaheshimu wao basi heshimu mamlaka zao.Niminywe na nani? Nani mwenye shida ya kujua neno mandezi?
Acha uzushi yaan morovian ilianza kabla kkkt wakat temple kwetu la kkkt limejengwa kipindi cha utawala wa kijeruman...kumbe hata hujui asili ya morovianMimi niliishi Mbeya yangu ukoloni sikuwahi kusikia chifu wa Kinyakyusa Mbeya zaidi ya kina Lyoto. Kuna hawa wapya wanaojidai kuwa ni wazaliwa wa Mbeya! Hawa niwaongo si machifu halisi haiwezekani mnyakyusa wa Bulyaga ukawa chifu wa Mbeya. Kuna hawa mitume na manabii wapya na makanisa yao mapya, makanisa ya Mbeya yalikuwa Moravian, Katoliki, Anglikani, Seventhday, Jeshi la Wokovu na Mashahidi wa Yehova, kuna watu hapa watahoji KKKT! Haikuwepo kwani inafanana na Moravian hivyo ilikuwa jimbo la kaskazini na mashariki na Moraviani jimbo la magharibi na kusini, hivyo hawa manabii na mitume wanaojidai nao ni wa Mbeya hapana hawa ni wachuuzi toka maeneo mengine.
Acha ujinga wana heshima gan hao mawakala wa shetaniLakini mkuu lugha uliyotumia si nzuri kwa viongozi wetu hawa, hata kama hauwaheshimu wao basi heshimu mamlaka zao.
Mbona kama umepanick mkuu mpaka unaniona mjinga kwa kutoa maoni yangu?Acha ujinga wana heshima gan hao mawakala wa shetani
verified user mnatakiwa kuchunga maandishi yenu.Dar, Mbeya, Arusha hii mikoa ina Maregional Coordinator mandezi sana.
Ni kweli kabisa. Lakini kuna kibaya nimeandika. ?verified user mnatakiwa kuchunga maandishi yenu.