RC Makonda, mtaje aliyeingiza Rangerover kinyemela

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,984
11,408
Kiongozi mwenye ujasiri wa kumtaja kigogo papa hadharani ni makonda pekee wengine wazugaji tu.

Mkuu makonda hebu tutajie aliyeingiza Rangerover kinyemela na sababu za yeye kufanya hivyo ni zipi? Kwangu mie ushuru wa haya magari ni kufuru lakini ni magari salama kwa matajiri wetu.

Tumeona magari ya bei ndogo kama voxy yakipata ajali yanakunjamana na kukuulia humohumo.

Sijawahi sikia rangerover imekula mweleka na kuua mtu. Kama tatizo ni kodi kandamizi tuzipitie upya ili kuleta unafuu kwa waagizaji isitoshe hizi gari zitaendelea kutumia mafuta vilainishi na spare vyote hivyo vinalipiwa kodi.
 
Yeye tatizo halijui anaona watu wanakwepa bila sababu magari mengi kodi zake zipo juu wangepitia upya ili kupunguza kodi harafu inapoumiza kodi inapigwa kwa USD ambayo ina nguvu ukiileta kwenye shilingi ni maumivu..
 
Walio ziweka walikuwa na unafuu flani..... aidha kwa kuwa kulikuwa na mipenyo ya kukwepa au kupata faida kupitia kuwasaidia watu kuingiza mizigo yao. Lakini kwa kichwa hiki cha huyu jamaa kabana kote....sasa umebaki msiba tu.
 
Jembe letu makonda anaweza kabisa sababu yeye anajituma na ataweza. Lakini kitu cha ajabu na mshangao Clearing agent wanaoingiza mizigo ya aina hii ni watu well known kwenye biashara za freight na ukiwauliza wajuzi watakuambia tuu ni kampuni ya fulani. Je huyo fulani kama labda alisponsor safari za DAB ughaibuni ataweza kuwa na kifua kuja kumtaja na media zimegeuka bubu juu yake??
 
Usimuaribie baada ya sinema kuisha mwenzako anataka alipore yeye maana nasikia ile bmw ya Nas kaipeleka mafichoni
 
Kama walivyotuonyesha jinsi walivyoyakamata wanawajibika kutwambia ni ya kina nani, lasivyo tutaamini ilikuwa siasa tu
 
Kiongozi mwenye ujasiri wa kumtaja kigogo papa hadharani ni makonda pekee wengine wazugaji tu.

Mkuu makonda hebu tutajie aliyeingiza Rangerover kinyemela na sababu za yeye kufanya hivyo ni zipi? Kwangu mie ushuru wa haya magari ni kufuru lakini ni magari salama kwa matajiri wetu.

Tumeona magari ya bei ndogo kama voxy yakipata ajali yanakunjamana na kukuulia humohumo.

Sijawahi sikia rangerover imekula mweleka na kuua mtu. Kama tatizo ni kodi kandamizi tuzipitie upya ili kuleta unafuu kwa waagizaji isitoshe hizi gari zitaendelea kutumia mafuta vilainishi na spare vyote hivyo vinalipiwa kodi.
umeitoa wapi hiyo ya makotena kuwa makonda anajua aliyaweka range ndani yake tuambie wewe si unajua huu ni uchochez uliopindukia harafu members wanacomment ujinga kama huu!!!

Mod futa uzi huu jf ikifungiwa hasara kwako we mmiliki hawa jamaa wenye uzi wa uchochez watahamia mtandao mwingine mod nakuomba futa uzi huu haraka.
 
Umekunywa komoni badala ya chai? Hizo amri umejifunzia wapi? We naani?
 
Atamtaja kupitia chombo gani cha habari

Ile ilikua scene tu ilitengenezwa wakidhani watamfunika Nape kwa ile siku
 
Back
Top Bottom