Nadhani wakati umefika kwa sasa Mashine za kielectronic kutumika katika madaladala ili kuipata vat ya 18% kikamilifu,kwa tunanunua Huduma hii ya usafiri.
Rc,makonda shughulika na daladala zinazokata route,gari ikiandikwa buguruni --Dondwe ,inatakiwa ifike Dondwe,kuepusha kukera wananchi.
N.b/ IPO HAJA YA KUPITIA USAJILI WA DALADALA ZOTE UPYA KWANI ZIPO BAADHI NI MBOVU MNO,NA HAZIFAI KUPAKIA ABIRIA,KIZISHAHAKIKIWA UPYA,ZIKABIDHIWE MASHINE ZA NAULI ZENYE MFUMO WA EDF ILI SEREKALI IPATE CHAKE.