Rc.Makonda,achana na vitu ambavyo ni vya kiutaratibu wa jeshi letu,tunaomba EDF katika "Daladala"

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,424
20,463
Nadhani wakati umefika kwa sasa Mashine za kielectronic kutumika katika madaladala ili kuipata vat ya 18% kikamilifu,kwa tunanunua Huduma hii ya usafiri.
Rc,makonda shughulika na daladala zinazokata route,gari ikiandikwa buguruni --Dondwe ,inatakiwa ifike Dondwe,kuepusha kukera wananchi.
N.b/ IPO HAJA YA KUPITIA USAJILI WA DALADALA ZOTE UPYA KWANI ZIPO BAADHI NI MBOVU MNO,NA HAZIFAI KUPAKIA ABIRIA,KIZISHAHAKIKIWA UPYA,ZIKABIDHIWE MASHINE ZA NAULI ZENYE MFUMO WA EDF ILI SEREKALI IPATE CHAKE.
 
Sio EDF ni EFD ambayo inasimama badala ya ELECTRONIC FISCAL DEVICES
 
Mtoa mada nakuunfa mkono.. Haswa hapo kwenye daladala ambazo ni mangalangala.. Wallah hazifai kwa matumizi ya binaadamu labda zibebe aliens... Ubov wa daladal uliokithiri ni tatizo aisee... Also wakatisga ruti na wale wapandisha bei za nauli ikifika jion....
 
Hahaha la walimu kupanda dala dala bure mida ya kazi alishindwa ataweza hilo we mwache atoe matamko tu wewe mwambie apambane na uchafu kwanza ashauri Majengo ya serikali yapakwe rangi kwanza
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom