RC KIHONGOSI ni Sikio la Kufa

RC KIHONGOSI ni Sikio la Kufa

Joined
Jan 30, 2023
Posts
74
Reaction score
79
RC Simiyu Kihongosi ni sikio la kufa, wakuu wa mikoa wenzake walikopita CHADEMA kuanzia Kagera, GEITA, MWANZA, MARA wote hawakujihusisha na hujuma zozote dhidi ya Mikutano ya Chadema zaidi kama ni majibizano yalibaki kati ya Wakurugenzi na CHADEMA kuhusu viwanja.

Lakini Simiyu imekuwa tofauti RC Kihongosi ndio anatuhumiwa kuingia front kupanga njama na mikakati ya kuvuruga mikutano ya CHADEMA kwenye Majimbo ya BARIADI, ITILIMA, KISESA, MEATU ili ionekane imekosa watu kutokana na kazi nzuri anayofanya mkuu wa mkoa kutatua kero za wananchi.

RC Simiyu ameita maandamano ya Sungungusu mjini Bariadi wakizunguka mitaa ili kuzuia shughuli za CHADEMA ambao wako mkoa wa Simiyu kuwaeleza wananchi wa Simiyu ambao wengi wao ni Wakulima wa Pamba, Wafugaji na Wachimbaji wadogo wa madini juu ya mambo mabaya ambayo mkuu wa mkoa ameshindwa kuyasimamia na kutatua kero zao kama kuuziwa dawa feki za kupulizia Pamba, bei ndogo ya pamba ambayo inadaiwa wabunge na viongozi wa ccm wa mkoa huo ndio walanguzi wa zao la pamba ambao mtetezi wao ni RC Kihongosi sijui yeye ananufaika na nini.

Kitu ambacho Kihongosi hajui hayo makundi ya Sungusungu aliyokuwa anazunguka nao ndio wakulima wenyewe wa Pamba wenye malalamiko ya BEI, ndio haohao wachimbaji wadogo ambao maeneo yao wamepewa Wachina, ndio hao hao ambao mama zao na wake zao wakifika hospitalini hakuna dawa.

Watu wenye akili wanajiuliza nguvu kubwa aliyoitumia RC Kihongosi kwanini asingeitumia kuwasaidia wakulima wa Pamba wakaongzewa bei, kwanini asingewasaidia wafugaji wa mkoa wake walioshinda kesi mahakamani na kutakiwa kulipwa mifugo yao hadi leo hajalipwa, kwanini nguvu hiyo asingeitumia kuhakikisha wilaya za mkoa huo zinapata maji safi, kwanini asingetumia nguvu hizo kuhakikisha barabara za mkoa wa simiyu zinakuwa na lami kutoka Bariadi, Itilima, MEATU.

KWELI KIhongosi ni sikio la Kufa.

View: https://youtu.be/MjKQj89sJ_I?si=aL4mMyLgIRWhW9dI
 
Sasa hapo tatizo ni yeye au hao sungusungu wenye issue za bei na bado Wanaandamana?

No nadhani msijivike unabii

Kama wahanga wako happy wewe nani uwasemee

Mtanielewa tu… WATANZANIA NI TAFWAUUUUUTIIII
 
Hao wote kwa salim sio chaguo lake kabisaa..tena bora hata kihongosi kidogo na sio chalamila..yajayo yatakufurahisha
Hapo ni makubaliano tu Jesca na Pindi kwa sababu wote ni Friends na ni lazima warudi bungeni

Imma ataamua kama Pindi aende Mlangali na Jesca abaki au Pindi aje jimboni Iringa na Jesca aende viti maalum 😂😂🇹🇿
 
Back
Top Bottom