Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa moja kati ya mambo ambayo hayapendi, ni viongozi ambao hawatimizi majukumu yao na kuanza kutafuta sababu, huku akiwapa jina la wasanii.
Chalamila aambiwe vile vile kuwa hatupendi viongozi wa kisiasa kuingilia mambo technical na kujidai wanayafahamu , kumbe ni wazungu wa reli.Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa moja kati ya mambo ambayo hayapendi, ni viongozi ambao hawatimizi majukumu yao na kuanza kutafuta sababu, huku akiwapa jina la wasanii.
Chalamila ameyasema hayo leo Februari 19, 2024 alipoanza ziara ya kimkoa eneo la Mbagala wilayani Temeke.
View attachment 2909055