Huyu kashiba ameanua kutapika.Kwa Mwananchi wa kawaida wilaya ya Temeke Shillingi elfu hamsini na milioni mbili ni pesa ndefu yeye anaona ni pesa ya bia.
📌📌📌KAMA MATIBABU SIO BURE WANASIASA WAWAAMBIE UKWELI WAPIGA KURA WAO,MAMBO YA KUWADANGANYA WANANCHI NI KUTAKA KUWAGOMBANISHA NA WATENDAJI WA SERIKALI!!!
Huyu kashiba ameanua kutapika.Kwa Mwananchi wa kawaida wilaya ya Temeke Shillingi elfu hamsini na milioni mbili ni pesa ndefu yeye wa Masaki anaona ni pesa ya bia.
CHALAMILA AMEONA HAKUNA HAJA YA KUENDELEA KUDANGANYA RAIA.
AMEAMUA ANYOOKE KAMA RULA😁😁😁UKIAMUA KUBEBEA MIMBA UWE UMEJIPANGA.MAMBO YA KUZAA ZAA HOVYO WAKATI HUWEZI KUITUNZA MIMBA WALA MTOTO NI UMASIKINI WA FIKRA NA AKILI.
NCHI TAYARI INA WATU MILLIONI 60 UNAKUTA MTU BADO ANAZAA HOVYO WAKATI YEYE MWENYEWE KUJIHUDUMIA HAJIWEZI.
📌📌TZ HATUNA UPUNGUFU WA WATU.WATU WAJIFUNZE KUZAA KWA MPANGO.