Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,022
- 9,292
Hakuna mtu awezaye kutumikia mabwana wawili... Mathayo 7??Lakini wewe umewatamkia wafuasi wa ACT wanachama wao wasije ofisini kukuona kwa mambo mbali mbali kuhusu chama hicho. Sababu hasa ya kuamua kuitosa ACT ni ipi kama Rais hakukwambia uachane na chama chako!?
Umemaliza utata tena kilichobaki ni kurudisha kadi ya chama!na huyo tayari ni mjumbe wa ccm haleluyaaaHakuna mtu awezaye kutumikia mabwana wawili... Mathayo 7??
Ni kweli hawezi kusema coz ACT ni tawi la ccm
MTU amepewa cheo kwenye sahani unadhani matokeo ya hapo ni nini?Tumpe USHIRIKIANO atuvushe salama.Nina imani Kilimanjaro watafaidika na ujuzi wake.
Lakini Mbowe anamtumikia Dr. Lilian Mbowe, Joyce Mukya na Wema Sepetu... hap Mathayo 7 haitumiki?Hakuna mtu awezaye kutumikia mabwana wawili... Mathayo 7??
Hizi ni Personal life za watu hazituhusu. Ukitaka hizo utaaibika kwa kuwa michepuko ni bolt and nut kwa wanaume! Nani hachepuki?Lakini Mbowe anamtumikia Dr. Lilian Mbowe, Joyce Mukya na Wema Sepetu... halthayo 7 haitumiki?
Kuna gazeti limeandika eti Wema ni keki ya taifa. Ngoja nami nijipange kuomba kipande changuLakini Mbowe anamtumikia Dr. Lilian Mbowe, Joyce Mukya na Wema Sepetu... hap Mathayo 7 haitumiki?
Kwani kuwa au kutokuwa mwanachama wa ACT kunatokea kwa mujibu wa katiba au kwa mujibu wa kauli ya rais?RC Anna Mghwira: Rais hakusema niachane na Chama changu cha ACT