ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,661
πππ nimecheka kwa sautiNenda kapasi nguo za kanisani kesho
Kaangalie tena vizur kuna nyimbo yake ina 1 week ila viewers ni 95MKusema kwamba mwanadada ndie aliefanya hiyo teaser ifikishe 4.5 m ni kumkosea adabu vanny boy. Nimeangalia youtube channel ya huyo dada hana wimbo hata mmoja aliozidi 5M viewers
Kusema kwamba mwanadada ndie aliefanya hiyo teaser ifikishe 4.5 m ni kumkosea adabu vanny boy. Nimeangalia youtube channel ya huyo dada hana wimbo hata mmoja aliozidi 5M viewers
hivi watu mna nini lakini kaaaah muacheni alikiba wa watu.Kumbe Alikiba hii ndo account yako ya JF?
Mchawi utamjua tu,kwamba amekosa ungo tu aruke. Hawa ndio wanakesha kutafuta makosa,wakiyakosa wanayatengenezaBado natafuta 'alipotuaibisha watanzania' sipaoni
Tena makalioMtoa mada unawashwawashwa