Ray(Vicent Kigosi) kufikishwa mahakamani

mjasiliaupeo

JF-Expert Member
Apr 21, 2013
2,162
3,086
BREAKING NEWZ:
RAY kortini baada ya kusema uongo hadharani! Mamlaka ya mapata tanzania TPBC imesema magari yote yanayoingizwa nchini yakalipie ushuru mara moja ktk ofisi ya EWURA. Akiongea afisini kwake Mwendesha mashitaka mkuu wa serikali amesema twiga huyo alikamatwa kwenye box kubwa tayari kusafishwa nje kwa ndege maalum kwenda kuwaona watalii badala watalii kuja kumuona yeye mbugani. Baada ya mahojiano hayo msemaji wa TFF alifafanua kuwa Sammata ameitoa kimasomaso Tamzania. Aliongeza kwa kuwa bandari ya Dar sasa italindwa na jeshi la polisi na ndege hizo zitakuwa zikifanya safari mara tatu kwa wiki toka Tanzania kwenda Sudan. Alipohojiwa ilikuwaje maji yanakatika mara kwa mara msemaji wa bendi ya Twanga pepeta Zitto alisema wabunge wote wamezuiliwa kusafiri nje ya nchi labda kama wanaenda msibani. Wakati huo huo ray ameonya watu kutokunywa maji mengi kwani huenda wakageuka wazungu ama Albino kama yeye alivyogeuka.
 
nilikua nalinganisha username yako na ulichoandika nikagundua haujabahatisha! asante lakini mana nimecheka sana!!
 
Teh teh..Taarifa ya habari kutoka Milembe fm..Nilivyofika kwa Zitto ikabidi nicheke..
 
Salam zimfikie Mwendawazim Mwandamizi wa halmshaur ya mirembe
Salamu zimfikie pia machizi fresh wa hii wilaya ya raia tuliokatika fuse kwenye ubongo yaani vichwa vibovu
 
Dah asante mleta mada,jambazi lasifiwa kula mkate na chumvi ,wakati wa kushuka kilima Nyege Obama
 
Hii ni style ya magazeti ya bongo. Title ni tofauti na content ya ndani, pia kutumia maneno fulani sehemu isiyostahili.

Kwa mfano: Uhuru jana "Mkuu wa chuo cha TPSF atumbuliwa akiwa meza kuu." Teh!

Mleta mada nimekuelewa.
 
Ah! Umenisimbua nimerudia rudia kusoma mistari minne ya mwanzo mara mbili mbili sikuambulia kitu nikaona niendelee mawenge yakazidi! Lkn mwisho nimecheka! Si haba
 
Back
Top Bottom