Mpaka Leo nimeshindwa kuelewa kilichomchujisha Ray C hadi akapotea kwenye muziki, alaaniwe aliye msababishia Binti kiuno bila mfupa...
Unga,umalaya na starehe nyingine za kidwanzi zimemwangusha huyu binti.Mpaka Leo nimeshindwa kuelewa kilichomchujisha Ray C hadi akapotea kwenye muziki, alaaniwe aliye msababishia Binti kiuno bila mfupa...
Whatever...
Ila kwa upande wangu kibongobongo Ray c namchukulia kama G.O.A.T [emoji238] wa wanamuziki wote wa bongo fleva wa kike
Muziki wake ukiangalia video zake za 2003 zilikuwa mbele sana ya wenzake, achana na masuala ya fashion n.k.
Kusimama kwake tena na kuendelea na maisha yake Hata kama sio Muziki tena ni Neema kwa heshima na mwangaza aliojenga kwa wanamuziki wengine wa kike
Mwisho mwampamba na yule chalii wa chugaMpaka Leo nimeshindwa kuelewa kilichomchujisha Ray C hadi akapotea kwenye muziki, alaaniwe aliye msababishia Binti kiuno bila mfupa...
😂😂😂😂Mi nikifika Paris nitampataje? Ile kitu hainaga makombo.
Whatever...
Ila kwa upande wangu kibongobongo Ray c namchukulia kama G.O.A.T [emoji238] wa wanamuziki wote wa bongo fleva wa kike
Muziki wake ukiangalia video zake za 2003 zilikuwa mbele sana ya wenzake, achana na masuala ya fashion n.k.
Kusimama kwake tena na kuendelea na maisha yake Hata kama sio Muziki tena ni Neema kwa heshima na mwangaza aliojenga kwa wanamuziki wengine wa kike
Alikua analeta mapenzi ya kwenye senema kwa kuigiza ana mapenzi ya kweli kwa mvuta bangi teja mmija hivi wa Arusha akapigishwa sembe za maana ndiyo ikawa nitolee.Mpaka Leo nimeshindwa kuelewa kilichomchujisha Ray C hadi akapotea kwenye muziki, alaaniwe aliye msababishia Binti kiuno bila mfupa...
Mkuu hujawahi kuona kipaji cha ray c kwa kweli!?? U must be kidding aseeh..Tokea akopi melody ya wimbo wa kihindi nakuuimba kwa kiswahili niliona hamna mwanamuziki hapo
In fact sijawahi kuona talent ya muziki kwa huyu dada,unajua hata mobeto anaingiaga studio na kupiga kelele kwenye kipaza
I am not kiddingMkuu hujawahi kuona kipaji cha ray c kwa kweli!?? U must be kidding aseeh..
Mmh mbea mimi toka nione ray c kaenda Paris nikajiliwaza huenda itakua vacation tu ya siku mbili then anarudi bongo tuendelee kula msoto wote, jaman nyie Mungu mkali, Mwaka sasa unakatika bibie Naona bado anaendelea tu kula bata kwenye jiji expensive ulimwenguni, kudamshi kama kote, halafu katulia mwenyewe hana mbwe mbwe, Sijui kapata Danga gani shoga kidawa, au usikute anakaa gheto kama mange[emoji16] hana mbele wala nyuma halafu wambea tunapata tabu bila sababu [emoji23].
Kama kapata danga kheri yake, maana shoga kidawa alichunda aiseh , siku hizi Naona kidogo ana hadhi fulani hivi ingawa kimuziki ndo basi tena View attachment 1163670