Mmh!! Naona methadone inaanza kufanya kazi, kutendo cha kuanzisha biashara ya mgahawa na kuwaomba msamaha baadhi ya watu mliozinguana ni dalili tosha kuwa akili zimeanza kurudi, ila na wewe umenichekesha eti mara Team simba sijui mara team Nyani ahahahah, shaur zako we waanze tu si unawajua wenzio? Mi nina hamu kuwajua hao team simba na team nyani ndo akina nani.

Kwani binamu walikua na bifu kisa nini?
Binamu huyu ni mwizi mwenye akili, nasikia Zama ndo anaolewa mazimaa, akiendeleza bifu atakula wapi?
Na huyo big boss atamsikia kwenye bombaa...lazima ajipendekeza ili zama asahau ili yeye awe mwizi wa kudumu...anaiba kama haibi vileeee.....Mjini mipango...Zama mulika mwiziiiiii.....
Hawara mwenzie binamu, hakuna aliyeolewa apo
Maskini anatia huruma na mgahawa wake, kashaona zamaradi kampiga bao, sio type yake so kaaamua kuwa mpole tu, maskni ila si nilisikia kaokoka?