Just a pimped!
Mkuu mbona hapo napata Prado nzuri tu used?
Jaribu kupunguza walau kidogo tuzungumze biashara.
Mkuu mbona hapo napata Prado nzuri tu used?
.......
Rav4 kili kaliiii
Kula m8 mkuu. Kama poa njoo hapa Mlimani city sasa hivi.