Mkuu hii gari nauza maana nimenunua gari ingine na haina tatizo yeyote kama upo serious na bei njoo PM tufanye biashara gari iko Arusha.Karibu.Hii gari haijawai kupata ajali ?
Kwanini unaiuza?
Na offer yako ya mwisho ni ipi?
Iko mkoa gani?
Poa mkuu chek PM...Mkuu hii gari nauza maana nimenunua gari ingine na haina tatizo yeyote kama upo serious na bei njoo PM tufanye biashara gari iko Arusha.Karibu.