Mbongo halisis
Member
- Mar 4, 2012
- 22
- 3
Rav4 iko ktk condition nzuri inauzwa bei mil 10 imetembea km 117000 rangi ya green, hatuitaji dalali, wasiliana nasi 071380200x
Khaa mzee upo serious na hiyo biashara manake hiyo namba umeweka kama hutaki vile hiyo x ya mwisho kwenye namba inasaidiaje kukupata? Au umebonyeza bahati mbaya?