Nashukuru kwa maelezo yako, mi ningependa kuweka hiyo ya 1zz, najua suala la gearbox halikwepeki, ila nilitaka kujua kama hii projeck inawezekana na haitaleta shida especially kwenye mounting na wiring.Inawezekana mkuu.ukichukua 1zz ya kwenye rav 4 hapo inatakiwa ununue na gearbox yake.
Lkn kwa ushauri wangu mm kama fundi umeme chukua engine ya 3s fe inayotumia.coil bandika hapo huto pata garama.huto pata taabu ya kununua gearbox utatumia ya kwenye 3sge.
Je gearbox yako ni ya 4whell au 2 whell.
Ukitaka fundi umeme nicheki nikufanyie kazi yako
Kwa nini mkuu.umechagua engine hiyoo.Nashukuru kwa maelezo yako, mi ningependa kuweka hiyo ya 1zz, najua suala la gearbox halikwepeki, ila nilitaka kujua kama hii projeck inawezekana na haitaleta shida especially kwenye mounting na wiring.
Gearbox ni ya 4W. Nitashukuru kama utakuwa na ushauri zaidi. Asante