Habarini wanajamvi!
Naombeni msaada wenu kwa anayejua hawa secretariet ya ajira katika utumish wa umma huwa watumia ratio ya watu wangapi kwa kila nafasi 1 ili kufanya usail wa mahojiano (oral) pasipo mchujo (written interview)?
Naomba kuwasilisha wanajamvi.