Ratio ya Sekretarieti ya Ajira

Ratio ya Sekretarieti ya Ajira

PANTA

Member
Joined
Feb 4, 2012
Posts
47
Reaction score
5
Habarini wanajamvi!

Naombeni msaada wenu kwa anayejua hawa secretariet ya ajira katika utumish wa umma huwa watumia ratio ya watu wangapi kwa kila nafasi 1 ili kufanya usail wa mahojiano (oral) pasipo mchujo (written interview)?

Naomba kuwasilisha wanajamvi.
 
Hakuna ratio inategemea mmeomba wangapi nafasi moja inaweza kuwa sawa na watu 350!

Mfano mwezi uliopita kulikuwa na nafasi mbili za planning officer walizotangaza kwa niaba ya IRDP kwenye oral waliita watu 765. Soo 765/3=321!

Nadhani nimefafanua vema.
 
Hakuna ratio inategemea mmeomba wangapi nafasi moja inaweza kuwa sawa na watu 350!!
Mfano mwezi uliopita kulikuwa na nafasi mbili za planning officer walizotangaza kwa niaba ya IRDP kwenye oral waliita watu 765. Soo 765/3=321! Nadhani nimefafanua vema.

Hapo nimekuelewa vizur sna mdau nakushukuru.
 
oral ratio yao ni 1:3...maana si kuna siku nafasi zilikuwa 2 tukaitwa 18 oral...tulipoenda kwa oral jamaa ambaye ni mfanyakazi wa utumishi akaja akatuambia walikuwa wamefanya mistake ilitakiwa tuitwe 6..kwani wenyewe ratio yao ni 1:3
 
Du japo me nakumbuka kuna usail tulifanya aprl mwaka huu oral watu 152 nafas 5 hvyo ratio hapo ni 1:30 pia kada nyingne watu 30 wanapigwa mchujo nadhan hawa jamaa hawana fixed ratio
 
Hakuna ratio inategemea mmeomba wangapi nafasi moja inaweza kuwa sawa na watu 350!

Mfano mwezi uliopita kulikuwa na nafasi mbili za planning officer walizotangaza kwa niaba ya IRDP kwenye oral waliita watu 765. Soo 765/3=321!

Nadhani nimefafanua vema.

Oral waliita watu 765 !!!!!

walifanya siku ngapi huo usaili?
 
Back
Top Bottom