Ratiba ya leo ni kutulia home, kuwatch movies, Kupost jukwaa la dini, Kusikiliza Mahubiri na Kusali Rozari Kumshukuru Mungu kwa Jambp kubwaa sana alilonitendea leo, na kumuomba anaioneshe njia na kutia mkono wake katika haya maisha!!!!! (Mambo yote yakikwamaa ndo inakulazimu kufanya ibada nzito ya kuomba backup huko juu! Chezeya binadamu na roho zao za korosho!!!?)
Bwana awe nanyi!
Baada ya appendex operation hapo juzi nitakua kitandani nikilala na kutizama marudio yote ya wiki isidingo,the women of steel etc na ntakua online full time nikijaribu kucatchup na news zilizopita while i was hospitalised on 16th january

mambo ya kitoweo sio dada?
hali ya hewa sijui itaruhusu? Mbona kama giza tayari kwa leo?
raha ya brekifasti iwe na samaki wa kupaka kidogo
Watu wa Matombo utawajua tu...hata wakija Dar ni mwendo wa samaki