Ratiba ya mtihani wa kidato cha sita 2017 inatoka lini?

makalango

JF-Expert Member
Feb 10, 2017
448
252
Ni kwa nini necta hawajatoa ratiba ya mtihani wa kidato cha sita mpaka sasa tunaelekea mwezi wa tatu zaidi ya tetesi tu lakini ukiingia kwenye ukurasa wao hakuna ratiba ya mtihani au utaratibu umebadilika mwaka huu hawaweki ratiba kwenye ukurasa wao?
 
Mwaka Jana walitoa tarehe15/03 kumbe vuta subira soma kinacho faulisha ni maandalizi siyo ratiba
 
unataka ratiba usipate tabu mwezi wa 4 itatoka na pepa mwezi wa 5 na principal ya kuingia chuo ni 2C
 
Kweli watakuwa wamechelewa sana me numefanya mwaka Jana muda huu ulikuwa tayari ila ilikosea ndo ikarudishwa mwezi March
 
Back
Top Bottom