Ratiba ya kujivua magamba

mnazipata wapi hizi picha
jf ina wananchamaa wenye ujuzi kushinda hata wahariri wa magazeti ya habari leo na uhuru.
 
Makamba,
Mrisho,
mrema,
Mwakyembe,
Mamvi,
Maji marefu
Mkapa
Mwinyi na watoto wake,
Mary Nagu,
Mramba,
Mwanri,
lastly Magamba wote tutawafanyia party ya pamoja
 
Mbona SIOI mmemtenga kabisa? Jamaa yuko wapi mbona kimya sana....atakuwa anajuta kuziba sikio lake na ubunge umepta kushoto....
 
Jamani waziri Usingizi mumsamehe he has got obesty (unene uliopindukia kuzidi uwezo wa mwili) Kwahio akilala anoengeza blood supply to the brain ili asipate brain concurssion.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…