juma mkilindi
Senior Member
- Jul 1, 2015
- 167
- 2
Jaman naombeni kujua kua Kuna ukwel wowote juu ya kwamba ratiba ya kidato cha nne imebadilishwa ni tarehe 12/10 badala ya tarehe 2/11?
Sio kweli ila ni kwa baadhi ya masomo hasa hasa ya practical yatafanyika mwezi wa kumi