Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,671
- 8,237
Ndio mkuuHizo PM na AM ni kwa huku bongo?
Ila Mkuu Ubora wa timu za taifa haupimwi kwa world cup tu asee.Timu langu england naona wakistruggle hata kuqualifie group stage ...!
Ndio Maana yakeKwa hiyo kuna mechi tutakuwa tunazitazama saa sita usiku??
Hizo za 12:30 AMKwa hiyo kuna mechi tutakuwa tunazitazama saa sita usiku??
Hilo linajulikana but the fact is clearly known that they don't have a squad to win a world cup this year.Nawakumbusha Tu Kwamba Brazil ndio nchi pekee in football history to qualify for every FIFA World Cup.
Watatolewa na naniMoja kati ya maajabu ya WC ,
Spain ili chukua WC 2012 ...world cup 2014 ilitolewa hatua ya makundi ,wakakusanya vilago mapema ...
2014 German ikachukua WC ,lakin Kama kawaida 2018 ilitolewa hatua ya makundi ,wakakusanya vilago mapema huko Russia huku lawama wakimpa ozil...
2018 France kachukua WC ,unajua Nini kitatokea ,itaishia group stage na mapema sana watakusanya vilago ....
Na huu ni mwendelezo ....
Southgate bwege sana. Unampangake magwaya wakati ata kwenye club yake hacheziTimu langu england naona wakistruggle hata kuqualifie group stage ...!
Ya Qatar au hahahaaahMida sio mibaya sana.. Nikanunue jezi sasa..
Portugal na holland nao wana vikosi vizuri. Spain piaEngland kwenye karatasi Wana kikosi Bora na hatari kuzidi timu zote wakifuatiwa na ufaransa.
Kuna uzi wa jezi, nitanunua yoyote kasoro Nigeria 🤣🤣 sijaipendaYa Qatar au hahahaaah