Siku zote napata huduma ya intaneti nikitumia Tecno T1 kwa daily rate ya 450/- ya Airtel kwa kutuma neno SIKU kwenda 15444. Leo nikaona nijaribu kifurushi cha wiki. Nikacheki salio kwanza kabla ku-transact kifurushi cha WIKI. Mpaka ss sijapata sms ya kunitaarifu kupewa hicho kifurushi, lskini kilichonishangaza ni kugundua 10,000/- imeenda baada ya kucheki salio baada ya muamala huo. je, hiyo ndio rate ya wiki kwa bundle hilo? Kwa wanaofahamu mnielimishe tafadhali. Nawasilisha.