N Ngiriwater New Member Joined Sep 29, 2020 Posts 4 Reaction score 1 Apr 2, 2021 #1 Hivi ni kwanini Serikali na jamii isiruhusu watu wa jamii ya Rasi (Rastafari) kuruhusiwa kusoma na nywele zao hasa katika ngazi ya elimu ya chuo? Waruhusiwe kusoma na kupractise medicine ( Udakitari wa Binadamu).
Hivi ni kwanini Serikali na jamii isiruhusu watu wa jamii ya Rasi (Rastafari) kuruhusiwa kusoma na nywele zao hasa katika ngazi ya elimu ya chuo? Waruhusiwe kusoma na kupractise medicine ( Udakitari wa Binadamu).
mhuri25 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 3,262 Reaction score 4,470 Apr 4, 2021 #2 Inamaama Ras haruhusiwi kupiga Medicine!?
kurlzawa JF-Expert Member Joined Jan 23, 2018 Posts 16,694 Reaction score 20,648 Apr 5, 2021 #3 Wengi wa wenye imani hiyo bongo ni watu walioshindwa maisha
carcinoma JF-Expert Member Joined Mar 5, 2017 Posts 5,059 Reaction score 13,802 Apr 5, 2021 #4 Tatizo ni bangi tu.. mkiacha bangi mnakua watu poa sana.
la magica JF-Expert Member Joined Sep 30, 2015 Posts 2,242 Reaction score 3,613 Apr 6, 2021 #5 Nilishawahi kutana na dokta Rasi hospitali ya serikali, na nimesoma chuo na Rasi.
Dreadnought JF-Expert Member Joined Mar 25, 2013 Posts 2,902 Reaction score 3,984 Apr 6, 2021 #6 kurlzawa said: Wengi wa wenye imani hiyo bongo ni watu walioshindwa maisha Click to expand... Si kweli
kurlzawa said: Wengi wa wenye imani hiyo bongo ni watu walioshindwa maisha Click to expand... Si kweli
kurlzawa JF-Expert Member Joined Jan 23, 2018 Posts 16,694 Reaction score 20,648 Apr 6, 2021 #7 Dreadnought said: Si kweli Click to expand... za mda boss
Dreadnought JF-Expert Member Joined Mar 25, 2013 Posts 2,902 Reaction score 3,984 Apr 6, 2021 #8 kurlzawa said: za mda boss Click to expand... Salama mkuu, naona hutaki kurudi nyumbani
kurlzawa JF-Expert Member Joined Jan 23, 2018 Posts 16,694 Reaction score 20,648 Apr 7, 2021 #9 Dreadnought said: Salama mkuu, naona hutaki kurudi nyumbani Click to expand... nipo Mkuu hatufahamiani tu
Dreadnought said: Salama mkuu, naona hutaki kurudi nyumbani Click to expand... nipo Mkuu hatufahamiani tu
S Statistics JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 3,762 Reaction score 8,003 Apr 10, 2021 #10 Nimewahi kufanya kazi na rasi, mhandisi Makongoro kisiwani ukerewe. Alikuwa mkuu wa idara ya ujenzi.
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,933 Reaction score 25,245 Apr 10, 2021 #11 kurlzawa said: Wengi wa wenye imani hiyo bongo ni watu walioshindwa maisha Click to expand... Acha kuandika upumbavu wewe Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
kurlzawa said: Wengi wa wenye imani hiyo bongo ni watu walioshindwa maisha Click to expand... Acha kuandika upumbavu wewe Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
NewGapi JF-Expert Member Joined May 28, 2020 Posts 313 Reaction score 963 Apr 10, 2021 #12 Kipindi nipo A level kuna dogo alikuja Rasi form one pale shule. Walio soma st.matthews miaka ya 2005 wanaweza kumbuka.
Kipindi nipo A level kuna dogo alikuja Rasi form one pale shule. Walio soma st.matthews miaka ya 2005 wanaweza kumbuka.