RASMI, said mkumba mb, arejea tena nyumban CCM

RASMI, said mkumba mb, arejea tena nyumban CCM

Incredibility! Hafai kuwa mwanasiasa wa chama chochote cha upinzani wala huko sisiemu.
 
Tena uneongea kwa mbwembwe.... "arejea tena nyumbani CCM" angekuwa mkeo, ungempokea nyumbani kwako???

Dah lugha hizi!
utafanya tuhisi wazee wetu waliohamia ukawa juzi juzi wamefata ndoa!
Kuwa makini na lugha yako
 
kweli huyu hajui ni nini anachokipigania, maana anatangatanga tu hajui anasimamie nini. hongera zake kwa kudhihirishia umma kuwa yeye ni kigeugeu.
 
Back
Top Bottom