RASMI: Marekani Yaingia North Korea. US Aircraft Carriers Zilizofichwa Singapore Zapelekwa

Mkuu scud si hata Sadam Alikuw nazo? Au umejitoa fyuzi

Kwani umeambiwa anategemea scud?
Kwa taarifa yako NK ana Ballistic missiles ambazo THAAD battery's rada hazijawahi kufanyiwa majaribio ya kuzipangua.

Na ndio maana THAAD radar zilizokuwa SK zilishindwa ku detect bomu lililofanyiwa majaribio tarehe 6 mwezi wa 3
 
Hofu yangu ni kuwa kuna mataifa wanamchuza USA ili apigane then apate damage ili apitwe kiuchumi masna kuna taifa kama urusi linaweza kumsaidia NK through back door then USA akajikuta kawa damaged
US akipigana hyo vita yy ndo atafaidika sana. Niulize kwann!
 
Taja sababu inayokufanya umchukie
 
Mi nataka wapigane ili tuone nani mkali, wamezidi kutishana kwa maneno kama akina mama
 
Marekani wamtume Bashite akamteke Kim waepushe vifo vingi vya raia wasiokua na hatia,nilimchukia Kim niliposikia alimrusha mjomba aake kwenye zizi la mbwa wakali live tena akiwa uchi wa mnyama.
 
Reactions: MC7
Uongo mtupu hakuna vita. japan na marekani wamekubaliana kuongeza vikwazo kwa korea kaskazini.
 
US akipigana hyo vita yy ndo atafaidika sana. Niulize kwann!
Kwa nini? Ila tambua vita inakata hela nyingi sana kurecover damage zake unajua USA aliwapita wenzie kiuchumi kwa sababu yeye alikuwa supplier wa silaha wakati wenzie wanapigana vita ya dunia
 
Siwezi kubishana Na mtanzaNK.... kwani Wewe ni mpambe wa Kim? Au je unazijua THAAD au unasema kitu ambacho hujuw..... Na inasemekana NK anatumia Quantum code Communication je Wewe mpambe wa Kim unajua?
 
naona ma leaser ya marekani yanaingia kwenye combat for the first time naona wakimbizi wa N Korea wakikatiza bahari kuomba ukimbizi kwenye nchi za ulaya
 
Reactions: MC7
Mkuu hizi habari unatoa wapi?muda mfupi uliopita,makam wa Rais wa USA alikuwa na waziri mkuu wa Japan na wamesema njia sahihi ya kumuwajibisha DPRK ni vikwazo zaid vya kiuchumi,kwa maana nyingine hakuna vita,USA kasanda
maneno tu yale ya kumpumbaza
 
Usijali mkuu - marekani anajua ni mbabe mkubwa lakini pia anajua uzito wa maafa na gharama zitakazo mtoka kwa kupigana na Korea kaskazini japo inajulikana mwisho atashinda . korea sio nchi za mashariki ya kati mabazo trump anatoa amri zipigwe wakati anapotaka.
 

Nyie watu hivi huwa mnatoa wapi hizi habari???
1. Hakuna kifaa hata moja either carriers or destroyers or kitu chochote cha Marekani ndani ya North Korean waters, hivyo vyote vipo ndani ya Korean Penisula upande wa South Korea. Kuingia katika bahari ya North Korea hiyo ingetosha kuwa declaration of War. So taarifa zako ziweke vizuri.
2. Mike Pence muda si mrefu leo hii alikuwa na Mr Abe, Japanese PM. Wanazungumzia kuhusu kuongeza vikwazo vya kiuchumi kwa NK kama njia ya kidiplomasia haitafanikiwa.
3. Miaka hiyo 200 iliyopita US hakuwa na technolojia yoyote, na kila taifa lilikuwa linafikiria njia za kuwalinda raia wake. So hizo zote ni propaganda eti Marekani alishafikiria hilo miaka 200 iliyopita as if nchi zote zilizobaki zilikuwa kama Tanzania.

Marekani atashinda vita kama itatokea. Ila yeye atapata hasara kubwa sana ukilinganisha na faida atakayopata kwa kumpiga Kim. Yetu macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…