Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,649
- 5,079
huko lake zone mbona kuna wabunge wa vyama vya upinzani mkuu?Mondulı???Mnataka watu washndane kwa misingi kwamba mgombea anatoka upande wetu sio??Karıbia nusu ya Watanzani wanapatika LAKE ZONE.Shaurı yenu na mambo yenu na ubinafsı wenu.
huko lake zone mbona kuna wabunge wa vyama vya upinzani mkuu?
Shytown makomeo lazima apigwe.Mkuu lake zone ip? kiufip makufuli atapigwa kuanzia kagera,geita wanagawana,mwanza,kigoma,na shinyanga watagawana
Pole yao
Haya yanayofanyika Monduli ndiyo yatafanyika Tanzania nzima tarehe 25/10.