TeamLowassa
JF-Expert Member
- Nov 30, 2013
- 1,495
- 937
Zaidi ya wanachama mia tatu wa CCM kutoka jamii ya kifugaji katika kata ya Engaruka wilaya ya Monduli wamerudisha kadi za CCM na kujiunga na chadema huku wakidai maamuzi yao yametokana na utashi wao binafsi kwa kuzingatia hali halisi ya kisiasa ilivyo hivi sasa
ITV ilifika katika kijiji cha Engaruka na kushuhudia mamia ya wanachama waliyo kusanyika katika mkutano wa hadhara kukusanya kadi za CCM kuzichoma moto na kuchukua kadi za CHADEMA.
Kwa hali ya kisiasa ilivyo hapa Monduli ni wazi UKAWA wanatarajiwa kupata viti vyote vya udiwani,nafasi ya ubunge na mgombea Urais UKAWA Edward Lowassa anatarajiwa kupata ushindi wa 99% katika jimbo la Monduli.
Chinjeni ccm na kuchuna kuanzia mgongoni.hongereni watz wanaojua maumivu ya ccm.
Monduli hakukuwahi kuwa na harakati zozote za maana za kisiasa!
Huijui monduli wewe!
Monduli ni ka mtaa kadogo sana nyie bavicha vichwa maji msiojua jiografia