VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Ni wengi tu tumeliona hilo, you cannot defend the indefensible!Kaka unaona mbali sana. Ni wanaKIJANI wachache sana wenye hyo akili.
Kwahili la katiba kwakweli hata mimi nashuhudia masopakyindi umekuwa ukionyesha kutokuridhishwa na jinsi mambo yanavyokwenda pale Dodoma.Inafikia hatua unajiuliza,Mzee Sita kweli kachanganyikiwa au anaona liwalo na liwe kwa kuwa katelekezwa na Mh.Rais katika hili.Juzi ilikuwa aibu tupu wakati wanajadili jinsi ya kupiga kura,aliamua kujitoa ufahamu kabisa dhidi ya wale waliopinga namna ya upigaji wa kura.Ni wengi tu tumeliona hilo, you cannot defend the indefensible!
Sasa hivi mambo yanakwenda kibabe kibabe bila kuchukua maoni ya wananchi, na hii ni hatari.
Acheni kuwachimba watu mkwara bana ina maana syndicate yote ile imeshindwa kuliona hili.
Ni wengi tu tumeliona hilo, you cannot defend the indefensible!
Sasa hivi mambo yanakwenda kibabe kibabe bila kuchukua maoni ya wananchi, na hii ni hatari.
Sasa hivi mambo yanakwenda kibabe kibabe bila kuchukua maoni ya wananchi, na hii ni hatari.
Chama chetu cha Mapinduzi kimejipanga,tangu mwanzo wa mchakato,kudhibiti mchakato na kulinda maslahi ya kichama. Kinaelekea kuweza. Kuyalinda maslahi ya kichama ni kulinda sehemu kubwa ya Katiba ya sasa ambayo 'inabeba' chama chetu. Pamoja na sauti zinazopazwa kila uchao na wapinzani na wanaharakati,Rasimu inakaribia kupitishwa. Chama kimejiandaa na kujipanga kufanikisha hilo.
Mambo yote yameshawekwa tayari.Ndiyo maana sasa Katibu Mkuu Kinana na ujumbe wake wanatembea pande za Tanzania kwa raha zao kujiandaa na uchaguzi ujao. Hawana hofu juu ya kupita kwa Rasimu. Itapita tu. Katiba 'mpya' itapatikana.
Amini nawaambia, CCM itayumba na kusawajika ikipitaRasimu hii. CCM itajuta bila mafanikio kudhibiti mchakato na kupitisha Rasimu. Itakuwa too late! Kila mwananchi amejiandaa kivyake. Kwasasa Polisi wanaogopwa. Ukifika muda, wananchi watatamba kwa kura zao. Itakuwa heri ungekuwepo kuona ninachokisema hapa.
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam