Rasimisha Biashara Yako

Rasimisha Biashara Yako

Joined
Jan 1, 2014
Posts
63
Reaction score
42
Ili biashara yako itambulike kisheria inahitajika isajiliwe na usajili unafanyika kwa kutumia system ya BRELA ORS. Ili uweze kufanikisha usajili huu unahitajika uwe na namba ya NIDA na TIN kwa usajil wa Kampuni. Kwa usajili wa jina binafsi la biashara ni namba ya NIDA tu inatosha.

Vitu vingine ili usajili wako uweze kukamili, kwa Kampuni;
1. Memarondum and Articles of Association
2. Letter of Compliance

Hivi vyote vitahitajika visainiwe na Mwanasheria. Usisubili mpaka tenda zitangazwe ndio ufanye maamuzi ya usajili maana utajikuta muda unakuacha na usajili wako haujakamilika, anza sasa.

Wasailina nasi kwa maelezo zaidi namba 0718 887 102/0755 440 118

Karibu sana
 
Back
Top Bottom