Nafikiri hii imetokea muda si mrefu kwa mtu unayemfahamu.Stunter we ni kiboko
haahahhah... Namimi nasema watooooUkifanya interview umeambiwa uifanye vizuri ili upate kazi ukaamua wewe kukaidi uta..mbw tu maana hakuna namna nyingine maana wote lazima tukubaliane nchi hii tunaiendesha kwa misingi ya kisheria sasa kama wewe umekaidi hutaki unaona kwamba ni imara zaidi, wewe ndio jeuri zaidi watakuto..mb tu na mimi nasema muwato...mb tu, kwa sababu hakuna namna nyingine maana tumechoka sasa
Mamii ile kazi uliyoomba utaipata ukija MASHETANI WAZURI GUEST HOUSE,room 19,fika bila kukosa ili nikufanyie usaili.kumbuka uje umevaa mini skirt na scanty top without bra.wewe jamaa wewe
Na wewe UMBWETO TUUUUUUU,maana hakuna namna.Ukifanya interview umeambiwa uifanye vizuri ili upate kazi ukaamua wewe kukaidi uta..mbw tu maana hakuna namna nyingine maana wote lazima tukubaliane nchi hii tunaiendesha kwa misingi ya kisheria sasa kama wewe umekaidi hutaki unaona kwamba ni imara zaidi, wewe ndio jeuri zaidi watakuto..mb tu na mimi nasema muwato...mb tu, kwa sababu hakuna namna nyingine maana tumechoka sasa
Sasa mbona jana ukanichomesha mahindiiiiiiiiiiii?wewe jamaa wewe