Ranitidine, dawa ya vidonda vya tumbo

Ranitidine, dawa ya vidonda vya tumbo

Quimica

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2018
Posts
1,118
Reaction score
1,399
Drug Tablet Named Ranitidine used to treat ulcers and GERD sold as (Zantac,Rantac,Ranitab ) Is Banned in USA AND INDIA

Because of Having N -nitrosodimethylamine ambayo inasababisha Colorectal Cancer

Hii Taarifa imevuma sana Leo, na ukiangalia Dawa hii ni First line Drug Of Treatment ya Ulcers Tanzania

Je kwanini Dawa Hii inaendelea kutumika wakati inasababisha Cancer?
 
1. Chemsha maji ya moto Lita tatu mpaka Tano hivi
2. Katakata kabichi
3. Maji yakichemka epua
4. Weka kabichi kwenye maji ya moto
5. Subiri yapoe kuwa room temperature
6. Chukua blender saga mchanganyiko wa maji, kabichi na karoti wako kwa sekunde Tano
7. Weka kwenye ndoo kubwa mchanganyiko usijae
8. Acha masaa 72 ichachuke
9. Chuja na weka kwenye fridge


Baada ya hapo uwe unakunywa kikombe kimoja Cha maji uliyoyaweka kwenye fridge. Kukata harufu unaweza weka maji ya chungwa na kitunguj swaumu. .

Dawa zimekuwa biashara ni hatari sana kwa afya ya wanadamu...
 
Back
Top Bottom