Rangi ya mwaka 2014

Rangi ya mwaka 2014

Ngatelefijo

Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
20
Reaction score
3
Jamani wadau niliweka post ya kuomba kujulishwa rangi ya mwaka 2014 lkn nilichoambulia ni matusi na utani mwingi, LAKINI WADAU NIPO SERIOUS NAOMBA KUJUZWA KWA YEYOTE ANAYEJUA RANGI YA MWAKA 2014 SERIOUS!! naomba msaada
 
Purple
 
Attachments

  • 1389505533437.jpg
    1389505533437.jpg
    20.5 KB · Views: 417
Ukishaijua inakuaje? Au unafanyaje? Hayo mambo ni yakizunguni uko ndo wanayajua kibongo bongo tunaona kama hayana maana ni mtazamo wangu tu lakini?
 
Kweli utamaduni wetu kwishney...
Hii le Mutuz itakuja kututawala kwa style nyingine...
 
Sasa wewe nawe unatoka wapi
 
Attachments

  • 1389722212232.jpg
    1389722212232.jpg
    34.9 KB · Views: 121
Back
Top Bottom